Kibubu cha Kidijitali! "e-kibubu"

Aplikesheni ya Kiasi, imeanzishwa mahususi kwaajili ya kuwawezesha Watanzania kutimiza malengo yao ya kifedha kwa kuweka kidogo kidogo.

Jipangie mwenyewe jinsi ya kutimiza malengo yako! 🎯

Aplikesheni ya Kiasi ina kusudi kuu moja, na hilo ni kuweka mustakabali bora wa kifedha kwa kila Mtanzania. Ukiwa na Kiasi utaweza kuweka malengo ya kifedha kupitia mitandao ya simu Airtel Money, TigoPesa. Weka lengo maalum, weka Kiasi kwaajili ya sherehe, nyumba ya ndoto zako, ada za watoto na kadhalika.

kiasiapp-timiza-malengo

Uwezo wa kufanyia kazi malengo mengi kwa wakati mmoja. ✅

Weka lengo maalum, weka Kiasi kwaajili ya sherehe, nyumba ya ndoto zako, ada za watoto na kadhalika.

Kama una ushauri, mapendekezo au malalamiko, wasiliana nasi.
mambo@kiasiapp.com 

Use your phone to scan this QR code to download the Kiasi App!

download-kiasi-on-playstore

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 🤔

Timu ya Kiasi App iko hapa kwa ajili yako! Tumejibu hapa chini maswali yanayoulizwa mara kwa mara.

Fedha zinakaa kwa kampuni ya simu husika mpaka pale utakapo omba kutoa fedha zako. Kiasi App haitumii fedha za watumiaji wake kuendesha shughuli zakibiashara.

Mtumiaji anatulipa shilingi 500/- kwa kila lengo moja. Hiyo tunaitumia kuendesha biashara hii.

Ukiweka fedha Kiasi, muda wako wakutoa ukifika, utatoa kile ulichoweka tu. Kwavile hatutumii fedha zako kwenye shughuli za miradi na uwekezaji, hautoweza kutengeneza faida kwenye Kiasi.

We are part of & We have been featured in